Chedaa nimerudi tena, na safari hii nimekumbana na Album mpya kabisa ‘The God Son’ na hii ni kutoka Alooh, Marioo, msanii mahiri wa Bongo Fleva, songwriter, na music producer anayekuja juu kwa kasi. Album hii imejaa moto wa aina yake, ikiwa na jumla ya nyimbo 17 zinazotikisa, huku akiwashirikisha wasanii wakubwa kama Alikiba, Harmonize, Aslay, Bien, Patoranking, na wengineo.
RELATED: Marioo – The Kid You Know ALBUM
Kwa sasa, hii inaonekana kuwa Album bora ya mwaka, na kijana wetu Marioo ameweka viwango vya juu sana. Hata hivyo, tunasubiri kwa hamu binti yetu Zuchu naye aachie Album yake ya kwanza, ambayo amesema iko mbioni.
Hakika, ‘The God Son’ ni kazi ya kiwango cha juu—Marioo ameshenyeta vibaya, na Album hii ni lazima isikilizwe na kila mpenzi wa muziki mzuri! Usisahau kudondosha comments hapo chini!
Sikilizi midundo hapo chini kutoka Aloooh!
- Marioo – Alhamdulillah
- Marioo – My Daughter
- Marioo – Sober Ft. Alikiba
- Marioo – Nairobi Ft. Bien
- Marioo – Dar Es Salaam
- Marioo – Happiness Ft. Kenny Sol
- Marioo – Salio
- Marioo – Wangu Ft Harmonize
- Marioo – My Eyes Ft Patoranking
- Marioo – Pini Ft Aslay
- Marioo – Njozi Ft Eleeeh
- Marioo – No One Ft King Promise
- Marioo – High Ft Joshua Baraka
- Marioo – Why
- Marioo Ft Stan – 2025
- Marioo – Hakuna Matata (Prod. S2kizzy)
- Marioo – Unanichekesha (Prod. S2kizzy)
Also, check more tracks from Marioo;