Serikali imetangaza rasmi majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano pamoja na vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu kwa mwaka wa masomo 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, jumla ya wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96% wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano.
RELATED: D Voice – Baby Mpya Ft. Zuchu
Aidha, wanafunzi wengine 64,323 wamechaguliwa kuendelea na masomo katika vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu.
Jumla ya wanafunzi waliohitimu kidato cha nne na waliobainika kuwa na sifa za kuendelea na elimu ya juu ya sekondari na mafunzo ya ufundi ni 214,141. Kati yao:
RELATED: Chella – My Darling Remix Ft Diamond Platnumz (Mpenzi Wangu)
Wakiwemo wanafunzi 1,028 wenye mahitaji maalumu
- Wasichana ni 97,517
- Wavulana ni 116,624
BOFYA HAPA KUTAZAMA
Also, check more tracks from Diamond Platnumz;
