MDUNDO DJ MIXES

Sambaza Shangwe Kwa Kupakua Bongo Hip Hop Mix ya Rj The Dj Ndani Ya Mdundo.com

Sambaza Shangwe Kwa Kupakua Bongo Hip Hop Mix ya Rj The Dj Ndani Ya Mdundo.com

Ni #HipHopTuesday. Twakupa nafasi ya kuamua ni msanii yupi anachana mistari ya hip hop kwa ustadi wa kipekee. Vile vile ni mix iliyoandaliwa na mkali wa mixes Rj the Dj.

RELATED: Pakua Bongo Classics Mix inayowashirikisha Lady Jaydee na Giggy Money Ndan Ya Mdundo

Furahia mistari kali na midundo hatari ya Hip-hop kwenye ‘Bongo Hip-hop Hits Mix’ ft. P Mawenge Mwanafa Staminashorwebwenzi na Mr. Blue

Subscribe ili kupata DJ Mixes kila siku hapa: https://mdundo.ws/CMBlog

Leave a Comment