MDUNDO DJ MIXES

Pakua Bongo Classics Mix inayowashirikisha Lady Jaydee na Giggy Money Ndan Ya Mdundo

Pakua Bongo Classics Mix inayowashirikisha Lady Jaydee na Giggy Money Ndan Ya Mdundo

Ndio hii mix ya kuanza wiki kwa kishindo!

RELATED: Pakua Bongo Flava Mapenzi Mix Inayomshirikisha Rosa Ree Ndani ya Mdundo

Pakua na kusikiliza ‘Bongo Classics Hits Mix’ ambayo inamshirikisha Lady Jaydee, Gigy Money na wasanii wengine hapa.

Hapa unapata fursa ya kuwaskiliza wasanii hawa tajika na pia kujikumbusha jinsi mziki wa bongo umekua kadri miaka inavyosonga.

Subscribe ili kupata DJ Mixes kila siku hapa: https://mdundo.ws/CMBlog

Leave a Comment