Furahia ngoma kali za Afrobeats na Bongo Flava kwenye mix ya “Best of Afro-Bongo” ndani ya Mdundo.com. Katika mix hii, utasikia vibao kutoka kwa wasanii maarufu kama Ckay, Baddest 47, na Jay Melody.
RELATED: Omah Lay Reason (Mix) – MDUNDO DJ MIX
“Best of Afro-Bongo” ni mix ya kibabe ambayo unaweza kuisikiliza popote na muda wowote. Pakua sasa kwenye Mdundo.com na ufurahie muziki mzuri wa Afrika Mashariki na Afrika Magharibi!
Ipakue hapa:
Pakua Best of Afro-Bongo Mix Ndani Ya Mdundo.com
Subscribe ili kupata mixes mpya kila siku: https://mdundo.ws/CiMuzik
Also, check more tracks from Diamond Platnumz;