Abby Chams Amchana Zuchu,Unadhalilisha Wanawake

Staa wa muziki nchini Abby Chams amemkosoa mwanamuziki mwenzake Zuchu baada ya msanii huyo (Zuchu) kupost kupitia twitter kuwa hataki tena kulinganishwa kiuandishi na wasanii wa kike kwa kuwa atakuwa anawaonea.

Zuchu amedai kuwa kwa level aliyofika anataka awekwe kwenye ligi na wanaume ,ambapo Abby Chams ameona sio sawa kwa msanii huyo kusema maneno hayo kwani ni kama anawashusha wanawake na kudai kuwa kipaji hakichagui jinsia.

Unaweza kufuatilia zaidi story hii kupitia video hapo chini..

https://youtu.be/Dme1g0lkWTg

Kwa Video Zaidi za Habari na Burudani Usiache Ku Subscribe Channel yetu ya Youtube @CitiMuzik TV

Top 20 Songs Now

Comments

Leave a Comment