Mambo Nane Ambayo Diamond Platnumz Amemuacha Mbali Ali Kiba.

Mara nyingi Ali Kiba na Diamond Platnumz wamekuwa wakiwekwa kwenye mzani mmoja ,lakini kwa sasa wadau wanadai kuwa sio sawa tena kumshindanisha Diamond na Ali Kiba kwani inasemekana kuwa boss huyo wa WCB amemuacha mbali sana Kiba.

Kuna mambo takribani nane ambayo Diamond amemzidi Ali kiba Kama ilivyoelezewa kwenye video..

https://youtu.be/zaxBiA7pzi0

Kwa Video Zaidi za Habari na Burudani Usiache Ku Subscribe Channel yetu ya Youtube @CitiMuzik TV

Top 20 Songs Now

Comments

Leave a Comment