CITIMUZIK TV ENTERTAINMENT

Huyu Ndiye Mrembo Aliyemuumiza Zaidi Jux,Sio Vanessa Mdee wala Jack Cliff

Jux kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu mahusiano ya kimapenzi yaliyomuumiza zaidi.

Jux amewashangaza watu wengi baada ya kuweka wazi kuwa sio mahusiano yake na Vanessa Mdee Wala Jack Cliff kama Watu wengi tunavyodhani kuwa ndiyo yamewahi kumuumiza zaidi baada ya kuvunjika bali ni alikuwa na mahusiano mengine kabla ambayo yalimuumiza zaidi,.

JUx anadai alikuwa na mahusiano na moja ya warembo maarufu ambaye waliachana kisa tu hakuweza kumpatia mahitaji yake kwa wakati ..

Unaweza ukatazama Video yote ya Jux akizungumza kuhusu Suala hilo..

Kwa Video Zaidi za Habari na Burudani Usiache Ku Subscribe Channel yetu ya Youtube @CitiMuzik TV

Leave a Comment