ENTERTAINMENT

Picha na video za harusi ya Nandy na Billnass

Picha na video za harusi ya Nandy na Billnass

Ni July 16, 2022 ambapo Billnass na Nandy wamefunga ndoa na sasa ni Mke na Mume.

RELATED: Picha na video za Harmonize alivyomvisha Kajala PETE

Ndoa hiyo imefungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Mbezi Beach Dar es Salaam na hizi ni baadhi ushuhudie kile kinachojiri.

Bwana Harusi William Lyimo (Billnass) na Bibi Harusi Faustina Mfinanga (Nandy) wakiingia kwenye kanisa la Kiinjili la Kilutheri Mbezi beach Dar es salaam kwa ajili ya

Picha na video za harusi ya Nandy na Billnass

Also, check more tracks from Nandy;

1 Comment

  • Nimefurahia sana picha na video za harusi ya Nandy na Billnass! Ni wazi walifurahia siku yao na upendo wao unashangaza. Hongereni sana wapendwa!

Leave a Comment