ENTERTAINMENT

Picha na video za Harmonize alivyomvisha Kajala PETE

Picha na video za Harmoniza alivyomvisha Kajala PETE

Harmonize wamebadili dini kumfuata Kajala? Tayari wawili hao wameshavalishana pete za uchumba na kinachofuata ni ndoa ambayo bado haijajulikana ni lini.

RELATED: Harmonize – Mtaje (Prod. B Boy Beats)

Kajala Masanja ni mkristo huku mpenzi wake Rajabu aka Harmonize akiwa ni muislam.

Leo muda mchache baada ya kuvalishana pete, Harmonize alionekana akitumia ishara ya msalaba hali ambayo imezaa maswali mengi kwamba atakuwa amebadili dini kumfuata Kajala.

Picha na video za Harmonize alivyomvisha Kajala PETE

Also, check more tracks from Harmonize;

Leave a Comment