Sms 9 za mahaba kwa yule umpendaye
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!
*****
Najua unanipenda mpenzi wangu, lakini urembo wako unaniweka roho juu, angalia usihadaike na walaghai, napenda mpenzi wangu! Mwaaaa…
*****
Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yakon upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio naosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi!
*****
God is wise when he did not put a price tag on you darling. If he did, I won’t be able to afford to have a boyfriend as precious as you. I luv you!
*****
Najua una kazi nyingi mpenzi, lakini muda wa kula umefika, nenda ukale kwanza mpenzi wangu!
*****
Hakuna atakayetutenganisha mpenzi wangu, ingawa wanafiki wanasema mengi, weka masikio yako pamba, achana nao wana vivu hao!
*****
Kama nikiambiwa niweke rekodi ya watu muhimu katika maisha yangu duniani, kwenye tatu bora utakuwepo, kwanza wazazi wangu halafu wewe unafuatia, nakupenda dear!
*****
Usiku huu ni mrefu ajabu, kuna baridi kali kuliko maelezo, natamani ungekuwa pembeni yangu nipate joto lako!
Ingawa upo mbali nami, lakini amini kuwa nakupenda kwa mapenzi yangu yote, lala salama dear, mwaaaaa!
*****
Kila ninapovuta hisia ya kuwa na wewe nachanganyikiwa, natumia mto pembeni yangu naufananisha na wewe, nakupenda mpenzi!
*****
Napenda sms ni nzuri hongera sana
Nitumie bas sms 20 nataka nimtumie my angel 0783040346
Mesaji zako ni nzuri sana shukrani
Daah, ni xmx nzur xaan mezipenda xaaan, na sis ambaw hatujui kutongozaaa
Unyama Sana ety
Nicely sms your very fantastic
Una msg nzur mno yaani hapo ni kwa kila type mtu anatumia either man or woman naomba ulete na nyengne
Best
Nice msg