ENTERTAINMENT

Punguza kuzoea zoea watu hovyo – Jacqueline Wolper

Punguza kuzoea zoea watu hovyo - Jacqueline Wolper

Mwigizaji wa filamu, mwanamitindo na mjasiriamali kutoka nchini Tanzania, Jacqueline Wolper Massawe amewataka walimwengu kupunguza kuzoea zoe watu hovyo.

RELATED: Morgan Heritage watangaza Collabo mpya na Diamond Platnumz

Star huyo wa Filamu nchini Tanzania, ameyazungumza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika

“Kama Kuna Kitu Kinazidi Kuwa Somo Kwenye Maisha Ninayoishi Ni Kupunguza Mazoea Na Watu (Kuzoeana) ….Mazoea Huzaa Mambo Mengi….Imagine Leo Ungekuwa Hujazoeana Na Yule Aliyekuumiza, Angepata Wapi Nafasi Ya Kukuumiza Kama Ungekuwa Haujamzoea ?

Hata Yule Adui Ni Kwasababu Ulimpa Nafasi Na Mazoea Anywayz …PUNGUZA KUZOEA WATU OVYO ?” – Wolper

Also check more tracks from Zuchu;

Leave a Comment