ENTERTAINMENT

Hamisa Mobetto amkana Rick Ross

Hamisa Mobetto amkana Rick Ross
Hamisa Mobetto amkana Rick Ross

Mlimbwende na msanii wa Tanzania Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Marekani Rick Ross.

RELATED: Hamisa Mobetto – Ex wangu Remix Ft Seneta Kilaka (Prod. Kenny)

Akiwa katika mahojiano na runinga ya NTV nchini Kenya , Msanii huyo ambaye pia ni mfanyabishara amethibitisha kwamba yeye ni rafiki wa karibu wa mwanamuziki huyo wa Marekani kwa jina William Leonard Roberts II.

“Sisi ni kama familia kubwa na tumefanya vitu pamoja ambavyo nitavizindua hivi karibuni’’, alisema.

Awali, picha na video za wawili hao wakiwa pamoja ziliwawacha vinywa wazi wapenzi wa mitandao ya kijamii Afrika mashariki huku wote wakikataa kuelezea bayana uhusiano wao.

Also, check more tracks from Zuchu;

Leave a Comment