LYRICS

Killy – Mwisho LYRICS

Killy – Mwisho LYRICS

GET AUDIO HERE

Killy – Mwisho LYRICS

Ukweli mama unauficha tena unaniruka kando
Usijitetee, ajali kila kukicha x wako
Yanamtoka mafumbo ili unipotee,
kweli mnatumiana picha tena
Anakuunganisha bundle ili mnitetee
Ndo maana havikauki visa au
Labda nijirudishe jando nkajitetee

(aaaah)
kumbe kimya kimya anachachua
Maana unavyomsifiaga kwa insta
Unaniona kima unajichetua
Eti nlikulazimishaga unapita,
Umenizima umenibidua sidhani
Hata ka nshakunjaga aah ndita,
Nishakupima nimekugundua na
Hili nlishalipigaga aah vita

Hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh
(lololo aah…!!)
Yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh
(tusiendelee aah….!!!)
Basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh
Yani ni bora iwe mwisho
(mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii..

Maumivu moyo wangu una maumivu uuuh vidonda
(aaah aaaah aaah aaaaaah)
Mwili umepatwa na uvivu
Penzi limegeuka majivu uuuh nahisi kukonda
(aaah aaaah aaaaaah)
(iyee eeh eyeeeh aah..!!)
Eti tufe tuzikwe wote
Yani hukudhamiria chochote
Nafsi umeikatili katili acha tu nikukimbieeee
Nakuridhisha ma nakupa vyote

Kweli nahudumia cha wote
Basi we batili batili picha zisinirudieee ooh bebe
Kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta
Unaniona kima unajichetua
eti nlikulazimishaga unapita,
Umenizima umenibidua sidhani
hHta ka nshakunjaga aah ndita,
Nishakupima nimekugundua na
Hili nlishalipigaga aah vita

Hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh
(lololo aah…!!)
Yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh
(tusiendelee aah….!!!)
Basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh
Yani ni bora iwe mwisho
(mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii..

Also, check more tracks from Harmonize;

Leave a Comment