Rapper ambaye haishiwi matukio Tekashi 6ix9ine amedai video yake ijayo itakuwa hatari, amesema ita-Break The Internet
My next video will break the INTERNET – Tekashi 6ix9ine
6ix9ine ametangaza kuwa ameamua kusogeza mbele tarehe atakayoachia kazi yake ya pili tangu alivyotoka jela huku akidokeza kuwa video hiyo itakuwa moto wa kuotea mbali, Ametangaza kuwa wimbo na video hiyo vitaachiwa ijumaa ya wiki ijayo (Mei 29)
RELATED: Justin Bieber amjibu TEKASHI kuhusu kununua N0. 1 BILLBOARD
Tekashi 6ix9ine amekuwa akizilalamikia chart za Billboard kwa uchakachuaji baada ya wimbo wake mpya ‘GOOBA’ kudondokea namba 3.
Source: WasafiFm Tanzania