ENTERTAINMENT

Justin Bieber amjibu TEKASHI kuhusu kununua N0. 1 BILLBOARD

Justin Bieber amjibu TEKASHI kuhusu kununua N0. 1 BILLBOARD

Nyota wa muziki wa pop duniani Justin Bieber , amemjibu TEKASHI 6ix9ine kuhusu tuhuma alizozitupa juu yake na Ariana Grande, ya kwamba wamenunua units fake ili nyimbo yao ya ‘stuck with U’ ishike number 1 kwenye charts za Billboards.

Tekashi amewatuhumu Bieber na Ariana kununua zaidi ya Units elf 30 (fake) ili Billboards iwaweke number moja kitu ambacho yeye ndiye alistahili kuishika number hiyo kupitia ngoma yake ya ‘GOOBA’

RELATED: Tekashi avujisha video chafu za Snoop na mchepuko (+video)

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Justin Bieber amesema kua tuhuma hizo ni za uongo kwasababu haiwezekani kununua units zaidi ya 4 kwa kutumia credit card moja, ivyo wasingeweza kununua units elf 30 kwa card 6.

Pia Bieber amesema kua nyimbo yake na Ariana imeshika number 1 kwasababu ya mapenzi ya Mashabiki zao, ivyo kwa kusema wamenunua Tekashi amewatukana mashabiki zao.

Justin Bieber amjibu TEKASHI kuhusu kununua N0. 1 BILLBOARD
Justin Bieber amjibu TEKASHI kuhusu kununua N0. 1 BILLBOARD

Leave a Comment