LIFESTYLE

Mambo 10 unayopaswa kujua kuhusu wanawake – N0. 5 NI BALAA

Mambo 10 unayopaswa kujua kuhusu wanawake - N0. 5 NI BALAA
Zuchu kama Zuchu
NOTE: 
Picha haihusiani na makala hii. Follow Zuchu On IG 
Written by Kichwahits
Submit your English Or Swahili Article,
Here [email protected].

Mambo 10 unayopaswa kujua kuhusu wanawake na ukiyazingatia na kuyaweka akilini lazima utaona mafanikio yake siku moja ni yafuatayo:

Mambo 10 unayopaswa kujua kuhusu wanawake – N0. 5 NI BALAA

1 .TAMAA ZAO
-Mwanamke yeyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa mama yako.

2. HULKA ZAO
-Wanawake wote huonyesha upendo wao waziwazi isipokuwa wale waliotendwa kabla.

RELATED: Siri 6 za wanawake ambazo kamwe hawawezi kukuambia. Zisome hapa

3. KUACHANA
-Mwanaume kumuacha mwanamke anayempenda ni kama simba kuacha kula swala, mwanamke kumuacha mwanamme ni rahisi kama swala kumkimbia simba mzee.

4. TABIA
-Jihadhari na maneno ya saluni na majirani kwamba wanaume wote wako sawa kitabia. La, lakini kumbuka hakuna mwanamme asie mwanamme.

5. MPENZI WA ZAMANI
-Kujaribu kumsahau mwanamme uliyewahi kumpenda ni kama kumkumbuka mtu usiyemjua. Ni ngumu.

6. KUOLEWA
-Muhimu kuolewa/kuoa, na ni ngumu sana kumjua mwanamme mwema kabla ya kuoa, ni waigizaji wazuri sana.

Kumbuka maneno haya, “Muhimu kuoa/kuolewa, ukipata mke/mme mwema utakuwa na furaha, ukipata mke/mme mwovu utakuwa mwanafalsafa”.

7. USALITI
-Vizuri kujiandaa kisaikolojia kusalitiwa, la usipojiandaa ama unaweza kuua mtu au hata kujiua.

Ukiua mtu maisha yako yatakosa furaha siku zote, ukijiua mwenyewe, hao waliokusaliti wanaweza kuishi kwa furaha zaidi ya ulivyokuwa hai.

8.  PESA NA MAPENZI
-Mapenzi bila pesa yanapatikana kwa wingi  huko mbinguni, hapa duniani ni ngumu mno, lakini usihofu sana, kuna makubaliano bila pesa. Omba Mungu.

RELATED: Mambo 15 mwanamke huangalia kabla ya kukupenda

9. UONGO
-Wahenga walisema ukweli unauma, Na mimi nakuambia, “Uongo unaua”

10. KUWAJUA WANAWAKE
– Kutaka kumjua mwanamke kunahitaji miaka mingi ya kuishi kuliko idadi ya nywele zao.

Usihangaike na vitabu, makala, majarida, filamu, nyimbo na hotuba za wanaofundisha mandhari za wanawake. Kuna kanuni moja tu ya kupenda, ” Ili ubaki salama katika kupenda sharti ujipende kwanza”.

1 Comment

Leave a Comment