LYRICS

Mbosso – Pawa LYRICS

Mbosso – Pawa LYRICS

Pawa, the opening track on Mbosso’s EP Room Number 3, is a deeply emotional and poetic love ballad that explores the consuming nature of affection. The Swahili word pawa (a stylized take on “power”) becomes a central metaphor—representing the overwhelming effect love has on him. With the repeated line “naishiwa pawa” (“I’m losing power”), Mbosso confesses how love drains yet energizes him, leaving him emotionally disarmed but beautifully devoted.

RELATED: Mbosso – Khan EP ALBUM

Through vivid metaphors—comparing love to beer that intoxicates, or a plastered wall he keeps climbing—he paints a picture of passion, vulnerability, and devotion. His lover is not just a muse, but a guiding force, a protector, and a source of emotional electricity.

Backed by the rich instrumentation and signature Bongo Flava rhythm, Pawa effortlessly blends heartfelt storytelling with melody. The result is a track that is both sonically soothing and emotionally gripping, perfectly showcasing Mbosso’s lyrical elegance and unmatched vocal sensitivity.

DOWNLOAD MBOSSO PAWA AUDIO HAPA

Mbosso – Pawa LYRICS

Kamusi namaliza kurasa kukusifia…
Matusi naiona BASATA wakinifungia.
Theluthi hizi raha ninazopata mia fil mia, aah…
Mjusi ukuta wa plasta nauparamia.

Na kama penzi ni chupa la bia…
Nipe sana niwe mlevi, niyumbe yumbe njia.
Kwa maana we mlezi na unanijulia…
Hawana hawawezi pakukuibia, dear.

Pawa pawa, naishiwa pawa…
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa.
Pawa pawa, naishiwa pawa…
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa.

Pawa pawa pawa, naishiwa pawa…
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa.
Pawa pawa, naishiwa pawa…
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa.

Nilifeli secondary, kwendaga chuo…
Ila kufeli penzi lako sina hilo chaguo.
Yeremia mstari, nifunue ufunuo—oooh…
Nikupambe kwa matari, mwilini iwe nguo.

Na kama penzi ni chupa la bia…
Nipe sana niwe mlevi, niyumbe yumbe njia.
Kwa maana we mlezi na unanijulia…
Hawana hawawezi pakukuibia, dear.

Pawa pawa, naishiwa pawa…
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa.
Pawa pawa, naishiwa pawa…
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa.

Pawa pawa pawa, naishiwa pawa…
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa.
Pawa pawa, naishiwa pawa…
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa.

Also, check out more from Mbosso;

Leave a Comment