LYRICS

Mbosso – Nusu Saa LYRICS

Mbosso – Nusu Saa LYRICS

“Nusu Saa” (Swahili for Half an Hour) is a soulful and heartfelt love ballad in which Mbosso opens up about his emotional past—marked by loneliness, abandonment, and broken trust. Through tender vocals and poetic storytelling, he shares how love gave him a second chance at life and happiness.

RELATED: Mbosso – Khan EP ALBUM

This deeply personal song reflects on the pain of growing up without support, giving his heart to the wrong people, and the emptiness that followed. But everything changes when he meets someone who brings peace and meaning back into his life. The chorus—repeating that even “half an hour” isn’t enough time with his beloved—captures how precious every moment feels when love is real.

With gentle melodies, moving lyrics, and Mbosso’s signature vulnerability, Nusu Saa becomes more than a love song—it’s a musical testimony to healing, devotion, and emotional rebirth.

DOWNLOAD Mbosso – Nusu Saa AUDIO

Mbosso – Nusu Saa LYRICS

[Verse 1]
Nina hadithi ya mapenzi, ngoja nikuhadithie
Kwenye yangu matembezi, nusu kufa nizimie
Ushaona mtoto bila malezi? Ndo nilikuaga mie
Moyo niliwapa wezi, matapeli waniibie

[Pre-Chorus]
Sasa inatosha, nimesahau
Tangu nikupate wewe, naiona angalau
Sasa imetosha, nimesahau mimi
Tangu nikupate wewe, naiona angalau

[Chorus]
Robo saa… haitoshi, nusu saa
Hata masaa… sichoki kusema na wewe
Robo saa… haitoshi, nusu saa
Hata masaa… sichoki kusema na wewe

[Verse 2]
Deka unavyodeka kama mtoto
Nitakubembeleza, mi ni wako oooh
Nitazidi kupa vitu moto moto ooh
Mapenzi kupenda si mchezo oooh

Uuuhuuuuu…

[Verse 3]
Nilimaliza na waganga, waganguzi miti shamba
Kumbe mapenzi ni karanga, zinapikwa na mchang

[Pre-Chorus]
Sasa inatosha, nimesahau
Tangu nikupate wewe, naiona angalau
Sasa imetosha, nimesahau mimi
Tangu nikupate wewe, naiona angalau

[Chorus]
Robo saa… (robo saa)
Haitoshi nusu saa… (nusu saa)
Hata masaa…
Sichoki kusema na wewe (wewewewe, weweweee)

Robo saa… (hey iyeee)
Haitoshi nusu saa… (nusu saa, mpenzi)
Hata masaa…
Sichoki kusema na wewe

[Outro]
Nainua mkono mama, kitambaa cheupe
Ishara ya mapenzi mama, ooh Zipora
Wewe nami Zipora, mama ua langu la moyo
Haya yote tisa, tu moja—jaza pekee

Also, check out more from Mbosso;

Leave a Comment