SPORTS

Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu Na CAF Champions League 2024/2025

Ratiba ya Mechi za Yanga 2024/2025

Ratiba ya Mechi za Yanga 2024/2025: Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League) msimu wa 2024/2025 imekweisha kuwanza! Mashabiki wa soka kote nchini wanasubiri kwa hamu kuona timu zao pendwa zikichuana. Kwa upande wa Yanga SC, mabingwa watetezi wakiwa na lengo la kutwaa ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo, watapitia changamoto mbalimbali za kuendelea kujihakikishia taji lao.

RELATED: Harmonize – Yanga Bingwa

Timu hii maarufu, ikiongozwa na kocha mkuu Miguel Gamondi, ina ratiba yenye michezo ya kusisimua msimu huu. Mechi zao nyingi zitachezwa kwenye uwanja wa nyumbani, Azam Complex jijini Dar es Salaam, huku michezo mingine mikubwa ikiwemo ile ya ugenini ikiwa fursa ya kuonyesha ubora wao.

Kwa mashabiki wa Yanga, mechi za msimu huu zitakuwa na michezo mikubwa, lakini pengine mechi inayosubiriwa zaidi ni Dabi la Kariakoo dhidi ya watani wa jadi Simba SC. Huu ni mchezo utakaokuwa kipimo kikubwa kwa Yanga kuona kama wako tayari kuendeleza ubabe wao kwenye soka la Tanzania.

Ifuatayo ni ratiba ya mechi za Yanga SC msimu wa 2024/2025 katika Ligi Kuu ya NBC na mashindano ya CAF Champions League.

Yanga SC (Young Africans Sports Club)
  • Full Name: Young Africans Sports Club
  • Founded: February 11, 1935
  • Nickname(s): Wananchi, Vijana Stars, Yanga
  • Stadium: Azam Complex
  • Location: Dar es Salaam, Tanzania
  • League: NBC Tanzania Premier League
  • Manager/Coach: Miguel Gamondi (as of the 2024/2025 season)
  • Chairman: Hersi Said
  • Tanzania Premier League Titles: 30 (most recent in 2023/2024)
  • Achievements: Yanga is one of the most successful football clubs in Tanzania and East Africa, with a history of multiple league titles and cup victories, including domestic league championships and participation in international competitions like the CAF Champions League.

RELATED: Nyimbo 10 Bora Kwa Ajili ya Yanga Day 2024

Ratiba ya Mechi za Yanga 2024/2025

Ligi Kuu ya NBC

Mashindano ya CAF Champions League
Tarehe Saa Mechi Mashindano
26 Nov 2024 14:00 Yanga SC Vs Al Hilal Omdurman CAF Champions League
06 Dec 2024 14:00 MC Alger Vs Yanga SC CAF Champions League
13 Dec 2024 14:00 TP Mazembe Vs Yanga SC CAF Champions League
03 Jan 2025 14:00 Yanga SC Vs TP Mazembe CAF Champions League
10 Jan 2025 14:00 Al Hilal Omdurman Vs Yanga SC CAF Champions League
17 Jan 2025 14:00 Yanga SC Vs MC Alger CAF Champions League
Mechi Zingine za Ligi Kuu NBC
Tarehe Muda Mechi Mashindano
1 Dec 2024 19:00 Namungo FC Vs Yanga SC Ligi Kuu NBC
22 Dec 2024 18:30 Yanga SC Vs Kagera Sugar Ligi Kuu NBC
29 Dec 2024 19:00 Yanga SC Vs KenGold FC Ligi Kuu NBC
20 Jan 2025 16:15 Dodoma Jiji Vs Yanga SC Ligi Kuu NBC
26 Jan 2025 16:15 Tanzania Prisons Vs Yanga SC Ligi Kuu NBC
1 Feb 2025 19:00 Yanga SC Vs Singida Black Stars Ligi Kuu NBC
16 Feb 2025 16:15 Mashujaa FC Vs Yanga SC Ligi Kuu NBC
22 Feb 2025 16:15 Pamba FC Vs Yanga SC Ligi Kuu NBC
1 Mar 2025 17:00 Yanga SC Vs Simba SC Ligi Kuu NBC (Dabi la Kariakoo)
9 Mar 2025 16:15 Tabora United Vs Yanga SC Ligi Kuu NBC
Hitimisho

Katika msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC, mashabiki wa Yanga SC wana kila sababu ya kujiandaa kwa safari ya kusisimua. Timu yao inatafuta kulinda taji lao, huku ikiwakilisha nchi kwenye mashindano ya CAF Champions League.

Mechi kubwa kama Dabi la Kariakoo dhidi ya Simba SC zitakuwa kipimo kikubwa kwa wachezaji wa Yanga, na mafanikio yao yatategemea jinsi wanavyojitayarisha kukabili kila changamoto inayokuja mbele yao.

Hakika msimu huu unaahidi burudani kubwa kwa mashabiki wa Wananchi.

Also, check more tracks from Alikiba;

Leave a Comment