LYRICS

Darassa Ft Zuchu – Romeo Lyrics

Darassa Ft Zuchu - Romeo Lyrics

Indulge in the lyrics and melody of “Romeo” by Darassa featuring Zuchu as you read, sing along, and immerse yourself in its captivating rhythm. This track has resonated deeply with fans across Tanzania and throughout East Africa.

RELATED: Phina – Tititi Lyrics

Darassa Ft Zuchu – Romeo Lyrics

Lalalala Lalalala Lalalala

Lalalala Lalalala Lalalala

Hisia bhana ukilazimisha

Unaweza kuingia mlangoni

Ukatokea kwenye dirisha

Nikisema nakupenda namaanisha

Mapenzi sio nguo bidhaa ya kujaribisha

Love ni asset love sio market

Love ni private love sio concert

Love ni magnet

Kuconnect kufanya updating

Na new setting

Romeo please make me your Juliet

Tufanye iwe easy tusi-complicate

Oooh my baby sweet chocolates

Romeo please make me your Juliet

Romeo fix me coz I’m broken mwenzako

Romeo teach me niwe mwanafunzi wako

Stay with me nishakupenda mwenzako

Uwe wangu mi milele niwe wa kwako

Sijakupendea hela hela hela hela

Nimekupenda i appreciate

Your love baby

Msela msela msela

Wacha nikupe kila kitu

Sijakupendea hela hela hela hela

Nimekupenda i appreciate

Romeo please make me your Juliet

Tufanye iwe easy tusi-complicate

Oooh my baby sweet chocolates

Romeo please make me your Juliet

Mimi na wewe tuna connection

Jumping on the ocean

No second option

Kwako mimi no second option

Funga njia penzi lako

Mbawa zitapaa

Zima taa penzi langu

Nyota litang’aa

Haliwezi kufubaa kuchakaa

Au kusinyaa

Penzk linang’arisha hata kama

Unapigwa jua la Dar

Team sio team bila kocha

Na hata simu sio simu bila vocha

Wodadadang Wodadadang

Gang Ganga mahaba niue

Nishoot gun gang gang

Romeo please make me your Juliet

Tufanye iwe easy tusi-complicate

Oooh my baby sweet chocolates

Romeo please make me your Juliet

Lalalala Lalalala Lalalala

Lalalala Lalalala Lalalala

Leave a Comment