Feel the rhythm and sing along to the lyrics of “Tititi” by Phina. This song has garnered praise from fans not only in Tanzania but also across East Africa.
RELATED: Harmonize – Na Nusu Lyrics
Phina – Tititi Lyrics
Nilikufuata huku nalia Aaaah
Kufata wako msamaha baby
Ila we ukanichunia Aaah
Si ulitaka mi ni-dead Iiih
Ulitingisha kiberiti
Tititi Tititi Tititi
Mi ndo nishakudelete
Titi Titi Tititi
Niko Gado Niko Fiti
Tititi Tititi
Eeeh nadundika
Tititi Tititi
Nasema ushachukua noma
Niache toka hapa
Eeeeh Eeeh Kwenda Weeh
Niache toka hapa
We bwana ushachukua noma
Niache toka hapa
Eeeh Eeeh toka weeeh
Niache toka hapa
Kulikoni weeeh usinipigie simu
Niko zangu na bebi unatukata stimu
Jiheshimu weeeh usijitie ndimu
Hebu niache kidogo napewa vitu adimu
Nabembelezwa kama Marlow Marlow
Nami nampikia masaloooh
Dume la shoka si baro baro
Nami nampitisha kwa mtaro
Ulitingisha kiberiti
Tititi Tititi Tititi
Mi ndo nishakudelete
Titi Titi Tititi
Niko Gado Niko Fiti
Tititi Tititi
Eeeh nadundika
Tititi Tititi
Nasema ushachukua noma
Niache toka hapa
Eeeeh Eeeh Kwenda Weeh
Niache toka hapa
We bwana ushachukua noma
Niache toka hapa
Eeeh Eeeh toka weeeh
Niache toka hapa