LIFE HACKS

Pakua App mpya ya Mange Kimambi – Download Mange Kimambi App

Pakua App mpya ya Mange Kimambi - Download Mange Kimambi App
Pakua App mpya ya Mange Kimambi – Download Mange Kimambi App

Rasmi sasa App mpya ya Mange Kimambi inapatikana Playstore. Na haya ndio maneno ya Mange Kimambe kuhusu App yake mpya.

RELATED: Download App mpya ya WasafiBET

Jamani, leo ndo rasmi naanza kuposti kwenye App maana sasa app inapitakana kote. Tunaendelea kuiboresha app so tafadhali endelea kucheki for new updates, tukitoa tolea jipya tafadhali uwe una update. Mwanzoni matatizo lazma yawepo ila as we go along kila kitu kitakaa Sawa.

Ila sasa ni hivi kwenye app ni lazma mfanye malipo ya credit card? Ye unaipataje credit card? Tafadhali fanya kuswipe utaona jinsi unaweza kutengeneza credit card yako kupitia mpesa yako.

Pakua App mpya ya Mange Kimambi – Download Mange Kimambi App

Ndo hivyo inabidi muishi kama mbele ??. Ila nawajua ndugu zangu kwenyw mambo ya kadi so tunachofanya sasa ni tunamalizia website, kwenyw website kutakuwa na malipo ya simu.

RELATED: Diamond Platnumz – Naanzaje (Prod. Lizer)

Haya twende kazi.

Kama unahitaji msaada wowote kuingia kwenye app au kudownload au kutengeneza kadi yako naomba uwasiliane na mtu wetu wa technical whatsapp +255 620 451 779.

DOWNLOAD HAPA

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

Leave a Comment