Skendo 6 Za Jackline Wolper Zinazoweza Kuivuruga Ndoa yake na Richie Mitindo

November 19 ,Mrembo na mwigizaji Jackline Wolper amefanikiwa kufunga pingu za maisha na baba wa watoto wake wawili ,Richard Bruno a.k.a Richie Mitindo .

Ndoa hiyo ya kifahari iliyozua gumzo nchini imepata maoni mbalimbali kutokana na umaarufu na historia ya staa huyo wa kike kwenye tasnia ya uigizaji.

Jackline amewahi kuhusishwa kwenye mahusiano na skendo kadha wa kadha ambazo wananzengo wanadai kuwa wasipokuwa makini zinaweza kuyumbisha ndoa hyo.

Zifuatazo ni skendo 6 zinazomuandama Jackline Wolper

https://youtu.be/6-ZdCvpZPy0

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

Top 20 Songs Now

Comments

Leave a Comment