ENTERTAINMENT

Rubby na Kusah Waanza Kurushiana Maneno,Kisa…

Mwanamuziki wa kike nchini Tanzania Hellen Majeshi maarufu kama Ruby amekaririwa kwenye kipindi cha Hello Mr. Right hivi karibuni akidai kuwa ex wake ana tabia za kike.

Licha ya kutotaja jina moja moja ,watu wengi walihisi kuwa tuhuma hizo zinamlenga Kusah. Waandishi wa Habari wakaamua kumbabanisha Kusah kwenye mkutano wake na waandishi wa habari ambapo Kusah alidai kuwa adhani kwamba Ruby alimlenga yeye.

Unaweza Kutazama Video yote hapa Kuhusu sakata la Ruby na Kusah.

Kwa Video Zaidi za Habari na Burudani Usiache Ku Subscribe Channel yetu ya Youtube @CitiMuzik TV

Leave a Comment