Mchezaji wa Klabu ya Simba, Dejan Georgijevic almaarufu Mzungu, ametangaza kuvunjika kwa mkataba wake na klabu hiyo, huku akieleza kwa kifupi kwamba sababu kubwa ni kukiukwa kwa baadhi ya vipengele kwenye mkataba wake.
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram, Dejan ameandika:
“I confirm that my Contract of Employment is terminated with just cause due to the fundamental breaches of the Contract by the Club.
“Thank you fans for the support and love you have given me.”
Bado hakuna taarifa rasmi kutokea upande wa uongozi wa Klabu ya Simba kuhusu kuvunjika kwa mkataba huo.
Also, check more tracks from Harmonize;
- Harmonize – Uno (Prod. Hunter & Bonga)
- Ibraah Ft JoeBoy – Wawa
- Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru (Prod. Lizer)
- Darassa Ft Harmonize – Yumba
- Ibraah – Sawa
- Dully Sykes Ft Harmonize – Kadamshi
- Harmonize Ft Diamond Platnumz – Bado
- Dully Sykes Ft Harmonize – Inde
- Harmonize Ft Lady Jay Dee – Wife
- Harmonize Ft Rich Mavoko – Show Me
Kwa Video Zaidi za Habari na Burudani Usiache Ku Subscribe Channel yetu ya Youtube @CitiMuzik TV