Aliyekuwa Mpiga Picha Wa Diamond Afunguka,Hawezi Kunifukuza

Lukamba ,ambaye alikuwa mpiga picha wa Diamond amefunguka na kusema kuwa Diamond hakumfukuza kazi kama watu wengi wanavyosema bali aliamua kujiondoa kutafuta maslahi zaidi.

Lukamba aliyasem hayo akiwa anaongea na waandishi wa habari hivi karibuni kama inavyoonekana kwenye video..

https://youtu.be/34ACSgZlbl8

Top 20 Songs Now

Comments

Leave a Comment