VIDEO: Tazama Show Ya Rayvan Kwenye Nandy Fevistal

Kwa Mara ya Kwanza Toka Ajiungue kutoka Kwenye Lebo yake ya Zamani Ya WCB ,Rayvan amefanya Onesho kwenye tamasha la Nandy Festival

Rayvan alipanda Kwenye Jukwaa kama Msanii wa Suprise kwa kuwa hakwepo kwenye Matangazo. Angalia Hapa Show Yake Nzima

Top 20 Songs Now

Comments

Leave a Comment