MAKALA

SMS za Mahaba – SMS tamu za mapenzi kwa mpenzi wako

SMS za Mahaba - SMS tamu za mapenzi kwa mpenzi wako
SMS za Mahaba – SMS tamu za mapenzi kwa mpenzi wako

Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki
zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako
wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya,
tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.

RELATED: Sms 10 za mapenzi tamu kabisa kwa wapendanao

Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata
ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha

Tunza ufunguo huu,utautumia kufunga mwaka 2011 &
kufungulia 2012. Mungu alizigawa nikakuchukulia na wewe
…………………………

Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbuka
kuna akupendaye naye ni MIMI!.
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi
nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,
kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,
fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo
kwa kukutumia sms mpenzi wangu,
Nakutakia usiku mwema
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji
kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo
kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET”
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe
sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya
ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!
“NAKUPENDA MALAIKA WANGU”
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi
umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama
hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA
MWINGINE ZAIDI YAKO”
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani
nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi
kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali
hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,
huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili
mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.
Mchana mwema
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala
sina wazo la kukutenda, nakuomba
tuendelee kupendana siku zote habbity wangu
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,
siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu
muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.
“NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

RELATED: Sms 8 za mapenzi mahususi kwa wapendanao

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno
laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama
apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee
salamu “UHALI GANI MPENZI?”
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°

Leave a Comment