Diamond aanzisha kampuni wa ku-BET – WasafiBET.co.tz

Diamond aanzisha kampuni wa ku-BET - WasafiBET.com
Diamond aanzisha kampuni wa ku-BET – WasafiBET.co.tz

Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Naseeb Abdul Nyange, maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz; amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi za za kiabiashara.

RELATED: Diamond Platnumz – Naanzaje (Prod. Lizer)

Mwanamuziki huyo, Diamond Platnumz ameendelea kufanya uwekezaji katika sekta mbalimbali nchini ?? ambapo leo Novemba 26, 2021 ametangaza kuzindua kampuni ya kubashiri Michezo inayoitwa ‘Wasafi Bet’.

“Pesa Ilipo!? @wasafibetofficial #MkwanjaKilaBeti” ✍️.. – diamondiplatnumz

Hatua ya kwanza ni kujisajili kwa kutumia namba yako ya simu …. Jisajili Sasa tembelea Website yao ?? WasafiBET.co.tz

Diamond aanzisha kampuni wa ku-BET – WasafiBET.com

RELATED: Diamond Platnumz – Gimmie Ft. Rema

DOWNLOAD NAANZAJE

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

Top 20 Songs Now

9 Comments

  1. Naamini ninaweza kutimiza ndoto kupitia wasafi bet. Ongera kwa kupiga hatua ingine katiķa kutengeneza kipato na ajira kwa vijana wenzio. Mungu aendelee kukupigania ña utimize ndoto zako

Leave a Comment