Tanzanian gospel veteran recording artist, Martha Mwaipaja has released a brand new gospel song titled Ni Tabibu.
RELATED: Martha Mwaipaja – Cha Kutumaini Sina
Ni tabibu ni wimbo wa tenzi unao elezea mwema wa Mungu kwenye maisha yetu ni kweli tunaweza kuwa tunapitia mambo magumu kwenye maisha yetu lakini bado yeye ndio Tabibu wa karibu kuliko hata watu ambao kwa akili zetu tunadhani kuwa ni msaada kwetu.
mungu akubariki kwa kutufikishia neno la mungu kwa njia ya uimbaji
Fine too , nice song
Thank you for your nice song I know in my heart there is precense of god By jeyyamal