Tanzanian gospel recording artist, Martha Mwaipaja has released a brand new gospel song titled Cha Kutumaini Sina.
RELATED: Ringtone – Backslide Ft Martha Mwaipaja (Prod. Alive Records)
Tenzi hii ya cha kutumaini sina nimeiomba nikiwa najua kabisa hakuna cha kutumaini kwenye maisha yangu ya hapa duniani.
Usikate tamaa bado Mungu anakuwazia mema endelea mbele ukijua kwamba yeye ndie mwamba salama kwenye kila eneo la maisha yako

Amaizing
I love your songs they bless me alot
Umeolewa napnd nyimbozako nawe mwenyewe 🤝🙏
Nimeioenda hiyo nyimbo
as i do listen to your songs iam spiritually build. God enrich your Ministry