ENTERTAINMENT

Mzee Jengua afariki dunia, Ukweli Kuhusu Kifo – Inasikitisha Sana

Mzee Jengua afariki dunia, Ukweli Kuhusu Kifo - Inasikitisha Sana

Mzee Mohammed Fungafunga maarufu katika tasnia ya filamu kama “Jengua” amefariki dunia leo Desemba 15, Mkuranga mkoani Pwani baada ya kuugua kwa muda mrefu.

RELATED: VIDEO: SIRI 6 Ambazo WANAWAKE Hawawezi Kukuambia KAMWE

Kwa mujibu wa taarifa, Marehemu Jengua alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kupararaizi.

Mzee Jengua afariki dunia, Ukweli Kuhusu Kifo – Inasikitisha Sana

Leave a Comment