BreakingNews: Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa amefariki dunia.ย
Akitoa taarifa hiyo, Rais John Magufuli amesema Mkapa amefariki leo akiwa hospitali jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu.
Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa amefariki dunia.
ย