MAKALA

SMS 18+ nzuri za kumtumia mpenzi wako ili akupende daima

Mtoto unajua kutabasamu maana kila nikiitazama picha yako napatwa na hamu ya …., natamani kama ningekuwa ufukweni tukila upepepo mtamu huku tukipeana maneno matamu, kisha mzuka ukipanda tukatoane hamu au unasemaje?

RELATED: SMS 1000 za mapenzi kwa yule umpendaye

SMS 18+ nzuri za kumtumia mpenzi wako ili akupende daima

1. Wangu kipenzi ninayekuenzi, jua wanitia uchizi na kuninyima usingizi, sijui kama una kizizi au ni mapenzi ndiyo yaninyima huo usingizi, la azizi nimekumiss kichizi, u hali gani mpenzi?

2. Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi!

3. Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.

4. Mpenzi najua u-mbali nami, majaribu ni mengi wapaswa kujihami, nituniye zangu zabibu wangu tabibu, jitahidi kuwa mvumilivu nitakuja kukutibu, miss u ma luv.

5. Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu, napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu, mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda.

6. Nimeamini wewew ni mtalam wajua kunitoa hamu, unipapasapo huhisi kupoteza fahamu, maneno yako matamu hunizidisha hamu, hakika wajua kunikamua, luv u.

7. Kuwa nawe najivunia, mtoto mapenzi wayajua, kiuno, sauti yako tamu mithili ya chiriki wajua hasa kuitumia, mua wangu wajua kuukamua, ukiniacha jua nitaumia, nakupenda usije niacha nitajiua!

8. Mambo yako adimu ndiyo yanayonipa wazimu, nikuonapo hupatwa hamu, hutamani unipatiye wako utamu, la azizini lini utakuja kunitoa hamu, hakika nimemiss wako utamu na kwa kuupata sifahamu maana ni wewe tu ndiyo mtaalamu. Miss u

9. Dear siku zimekaribia, miaka โ€ฆโ€ฆ utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi.

10. Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi.

11. Siamini kilichotokea, hakika nimekukosea, lakini naapa katu sitorudia, upuuzi niliokufanyia, najua jinsi gani waumia ndiyo maana umeninunia, nisamehe mpenzi nafsi yangu ipate kutulia kwani bila wewe sin thamani katika hii dunia!

12. Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi, badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la azizi, pole sana na kazi!

13. Huna haja ya kulia kwa yaliyotokea kwani si wakwanza katika hii dunia, mpenzio kumfumania, wengi huwatokea katika hii dunia, tulia na vumilia Mungu atakupatia mpenzi aliyetulia, pole rafiki yangu klpenzi ndiyo mambo ya dunia!

14. Giza limeingia simuoni wakunikumbatia niko kama kinda la njiwa na zaidi ya mshitakiwa mwenye hatiya, sjiui wapi joto kwa kwakulipatia na wajua kipupwe kimewadia, uko wapi my dear?

15. Mpenzi sijui umenipa kizizi maana huishi kunijia kwenye njozi, hakika kwako sijiwezi, nadaka kila nikikuona kwenye lako pozi na usiku ukifika ndipo hutawala zangu njozi, tafadhali mpenzi usiniweke pozi, u hali gani la azizi?

16. Nashukuru kwa yako dozi hakika katika mapenzi wewe ni mkufunzi, wajua bakora kuitumia, mpenzi usije ukawa na mwingine unayempatia, hakika nikijua nitaumia kama sikujiuam. Nnakupenda!

17. Wangu Malkia nashukuru kwa mahaba uliyonipatia, nikikumbuka miguno na viuno ulivyonipatia na raha niliyojisikia, nahisi kuna mwingine unampatia, please dear penzi langu usije wengine kuwapatia! Nakupenda.

18. Ulisema wanipenda na katu kwa mwingine hutokwenda na leo umenitenda! Umeamua kwenda ingawa wajua bado nakupenda, leo ni siku kenda toka umekwenda, amini bado nakupenda na kwa mwingine siwezi kwenda!

19. Moyo wangu umekushika kama sumaku, kila nikiamka wewe ndiye kumbukumbu ya kwanza. Nakupenda zaidi ya maneno.

20. Kila unapocheka, nafsi yangu hupata amani. Sauti yako ni tiba ya huzuni zangu, uwe wangu daima.

21. Nikikukumbuka usiku, najiona nikijenga maisha ya baadaye tukiwa pamoja. Hakika wewe ndiye ndoto yangu njema.

22. Kila siku ni sherehe moyoni mwangu kwa sababu ya uwepo wako. Wewe ndiye zawadi kubwa Mungu amenipa.

23. Mapenzi yako yamenifundisha maana ya furahaโ€”sio maneno tu, bali vitendo vinavyogusa moyo.

24. Nikishika mkono wako, nahisi nguvu za ajabu. Nikikukumbatia, nahisi dunia imetulia.

25. Macho yako ni taa zinazoniongoza gizani, na moyo wako ni nyumba salama ninayopenda kukaa milele.

26. Upendo wako ni muziki, kila neno lako ni noti, na kila pumzi yako ni melodi inayonifanya niishi.

27. Mpenzi, kila sekunde bila wewe ni kama mwaka wa upweke. Moyoni mwangu wewe ndiye makazi ya amani.

28. Nikiona picha yako, moyo hucheza taratibu, na nikikusikia ukizungumza, nafsi hunyenyekea.

29. Kila nyota angani hunikumbusha tabasamu lako. Wewe ndiye mwanga unaonionyesha njia.

30. Wewe ni pumzi ya maisha yangu, bila wewe najiona sifai. Tafadhali usiache kunipenda.

31. Kuwa na wewe kumeifanya dunia yangu iwe nzuri, kila siku nahisi kama ndoto nzuri inayoendelea.

32. Penzi lako ni kama chemchemu ya maji safi, huninywesha furaha kila siku.

33. Moyoni mwangu hakuna mwingine ila wewe. Hata dunia ikibadilika, upendo wangu kwako hubaki pale pale.

34. Kila mara nikikuona, moyo hunipiga kwa kasi ya ajabu kana kwamba nakutana nawe mara ya kwanza tena.

35. Wewe ni dawa ya huzuni zangu na kimbilio la furaha yangu. Nakupenda bila kipimo.

36. Kuwa nawe hunifanya niamini mapenzi ya kweli yapo. Asante kwa kunifanya niwe mtu mwenye furaha.

37. Upo kama jua linalochomoza kila asubuhiโ€”kila nikikuona, maisha yangu yanapata maana upya.

38. Nakutakia siku yenye baraka na furaha. Uwepo wako maishani mwangu ni zawadi isiyo na mfano.

18 beautiful SMS to send to your lover so that he will always love you
  1. “You are the reason I wake up with a smile on my face every morning.”
  2. “I love you more and more each day.”
  3. “I am so grateful to have you in my life.”
  4. “You bring so much happiness into my world.”
  5. “I am so lucky to call you mine.”
  6. “I canโ€™t imagine my life without you.”
  7. “You make every day brighter with your love.”
  8. “I will love you forever and always.”
  9. “You are my best friend and my soulmate.”
  10. “I am so thankful for all the memories we have created together.”
  11. “You make my heart skip a beat every time I see you.”
  12. “I cherish every moment I get to spend with you.”
  13. “You are my everything and I will always love you.”
  14. “I love the way you make me feel – cherished, loved, and adored.”
  15. “You are my happy place and I never want to leave.”
  16. “I canโ€™t wait to see what the future holds for us.”
  17. “I love you more than words can express.”
  18. “Together, we make the perfect team.”

49 Comments

Leave a Comment