ENTERTAINMENT

Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga form 5 na vyuo vya Kati 2020

Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga form 5 na vyuo vya Kati 2020

TANZANIA

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) SELEMANI JAFO amesema jumla ya wanafunzi elfu 73,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2020 na kutakiwa kuripoti Julai 18 ili kuanza masomo Julai 20 mwaka huu.

BOFYA HAPA KUTAZAMA

Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga form 5 na vyuo vya Kati 2020

Leave a Comment