SMS 5 nzuri za kumbembeleza mpenzi wako
1. Moyo wangu umekupenda wewe peke yako, kamwe sifikirii kwenda kwa mwingine. I love you sweetheart…
2.Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dear…
3.Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewe nitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sana…
RELATED: SMS 18 nzuri za kumtumia mpenzi wako ili akupende daima
4.Siyo rahisi kuishi bila wewe, maana wewe maishani mwangu ni sawa na maji katika maisha ya binadamu. Mwaaaaa
5.Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana, pokea busu mwanana….mwaaaaaaaa
Mapenz ni tendo
Ila mapenz ya kwel ni matendo
Unyama