ENTERTAINMENT

Rayvanny afuta picha zote Instagram, Kajiondoa WCB ama!!

Rayvanny afuta picha zote Instagram, Kajiondoa WCB ama!!

Kama umeperuzi-peruzi na kuzunguka katika mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram nadhani umekutana na tukio hili la Rayvanny Kufuta picha na video zote katika account yake.

Mpaka sasa hivi bado haijajurika ni nini kinaendela kati ya Rayvanny na management nzima ya WCB chini ya Diamond Platnumz.

Isikupite Hii: Finally, Wema Sepetu comes clean “Sina beef na Hamisa”

Pengine anaashiria kuja kivingine zaidi maana wasanii mbalimbali ndani na nje ya Africa wamewahi-kufanya kitendo kama hicho ama pengine kuna tatizo kati yake na Management yake.

Haina kwele, ukweli utaibuka tu hivi karibuni, endelea kutembelea tovoti yetu kwa updates zote kali kwanzia Hapa Kenya, Tanzania, Nigeria n.k

Rayvanny New song
Rayvanny afuta picha zote Instagram, Kajiondoa WCB ama!!

Leave a Comment