Davido atangaza collabo na marehemu Pop Smoke
Davido kuachia mkwaju mpya na marehemu rapper Pop Smoke, Mkali huyo wa muziki wa Nigeria ametangaza kuwa mkwaju huo aliourekodi na Pop Smoke kabla ya kifo chake utatoka tarehe 12 mwezi Juni
RELATED: Davido Ft The Flowolf, Peruzzi & Dremo – Mafa Mafa
Baada Taarifa za Kifo cha Pop Smoke mwezi Feb mwaka huu Davido aliweka wazi baadhi ya meseji zao wakizungumza mipango ya kufanya kazi pamoja.
Kwasasa Davido yupo mbioni kuachia album yake mpya “A Better Time” mwezi wa 7 mwaka Huu.
Tayari amedokeza collabo na Nicki Minaj pamoja na Tiwa Savage.