Baada ya ukimya wa muda mrefu, 20 Percent mmoja katiya wasanii wakongwe kabisa Tanzania ametangaza rasmi kurejea upya kwenye Game.
Katika Interview na Wasafi Tv, kipindi cha Refresh kinachoendeshwa na mwanadada Aaliyah, 20 Percent amefunguka mambo mbalimbali ikiwemo sakati ya yeye kukamatwa na Bangi, Beef kati yake Clouds media pamoja na mipango mingi aliyonayo.
20 Percent Ft Machenje & Mamba Difenda – Corona | mp3 audio Download
Some media and unknown people wamekuwa wakinizushia skendo nyingi za uongo ili kunichafua au kunipoteza kabisa kwenye MAP ya Mziki huu wa Bongo fleva but HERE I AM TWENTY POWER. Nawaandalia Mziki mzuri sana. Stay tuned ?? – 20 Percent
Tazama Full interview hapa chini