ENTERTAINMENT

Zuchu – I AM ZUCHU EP album

DOWNLOAD Zuchu – I AM ZUCHU Mp3 EP album

Baada ya kutambulishwa katika Lebo ya WCB Wasafi, mwanadada Zuchu aliachia wimbo wake wa kwanza “WANA” na ndani ya masaa 6 wimbo ukawa na views laki moja.

Zuchu – Wana | mp3 audio Download

Leo jioni CEO wa WCB Wasafi Diamond Platnmuz ametangaza rasmi kwamba tarehe 12th April 2020, Zuchu ataachia Ep album yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la I AM ZUCHU.

Mbali na hayo yote Diamond Platnmuz alisema kwamba kesho wataachia majina na idadi ya nyimbo zilizo-kwenye I AM ZUCHU EP ALBUM YA ZUCHU

Zuchu – Wana | mp4 video Download

Tracklist: Zuchu – I AM ZUCHU EP mp3 album Download

Leave a Comment