ENTERTAINMENT

Kanye West amshusha Jay Z, awa ‘Rapa’ tajiri zaidi duniani.

Rapa Kanye West ametangazwa rasmi kuwa Bilionea, Forbes wanasema kupitia biashara zake za Nguo na Viatu vya Yezzy Adidas na Muziki, anautajiri wa dola bilioni 1.3

Ila Kanye West amesema Forbes wamekosea, Utajiri wake ni dola Bilioni 3.3.

Forbes walifanya uchunguzi wao baada ya Kanye West kuwaonyesha utajiri wa dola milioni 890 na kutaka kuitwa Bilionea kwenye jarida lao.

Kanye alivyoona Stori yake Forbes, amewatumia Sms akiandika> ‘It’s not a billion. It’s $3.3 billion since no one at Forbes knows how to count.’.

Leave a Comment