MAKALA

Wanafunzi 10 bora kitaifa kidato cha nne 2019/2020

Katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne, Dk Msonde ametangaza wanafunzi 10 bora kitaifa ambapo kati yao sita wanatoka Shule ya Sekondari Francis Girls ya jijini Mbeya. Wanafunzi hao ni;

1. Joan Ritte (St Francis Girls- Mbeya)

2. Denis Kinyange (Nyengezi Seminary- Mwanza)

Bofya hapa kutazama motokeo ya kidato cha nne 2019

3. Erick Mutasingwa (Sengerema Seminary- Mwanza)

4. Rosalia Mwidege (St Francis Girls-Mbeya)

5. Domina Wamara (St Francis Girls-Mbeya)

6. Mvano Cobangoh (Feza Boy’s- Dar es Salaam)

Bofya hapa kutazama motokeo ya kidato cha nne 2019

7. Agatha Mlelwa (St Francis Girls- Mbeya)

8. Sarah Kaduma (St Francis Girls –Mbeya

9. Shammah Kiunsi (St Francis Girls – Mbeya)

10. Luck Magashi (Huruma Girls- Dodoma)

Bofya hapa kutazama motokeo ya kidato cha nne 2019

Leave a Comment