NYIMBO ZA DINI

Top 20 ya nyimbo za dini zilizopendwa zaidi 2019

Bwana Yesu asifiwe na Heri ya Mwaka mpya mwana wa Mungu! Leo tuna Habari Njema ya kukuletea Top 20 ya nyimbo za dini zilizopendwa zaidi mwaka 2019 kutoka Afrika Mashariki.

  1. Rose Muhando X Ringtone – Walionicheka
  2. Yesu Karibu Kwangu – Rose Muhando
  3. Joel Lwaga – Mimi ni wa Juu
  4. Goodluck Gozbert – Nibadilishe
  5. Guardian Angel – Kuongozwa
  6. RINGTONE – Natafuta Bibi
  7. Masanja Mkandamizaji – Nii
  8. Christina Shusho Feat. Dreamers Singers – Teta Nao (Remix)
  9. Rose Muhando & Joyness Kileo – Agano
  10. Size 8 Reborn and Wahu – Power Power
  11. Kwaya ya Bikira Maria – Moyo Wangu
  12. Nadia Mukami – Maombi
  13. BAHATI – UNAVYONIPENDA
  14. Rose Muhando & Stephen Kasolo – Msitufatefate
  15. Christina Shusho – Nimehesabu
  16. Eddah Mwampagama – Viwango vya Juu
  17. Maggie Muliri ft. Bahati Bukuku – Nitafika Tu
  18. Emmanuel Mgogo – Napenda Niwe Na Wewe
  19. Masanja Mkandamizaji – Short & Clear
  20. Essence of Worship – Mimi Siwezi

DOWNLOAD NYIMBO ZA DINI HAPA

Leave a Comment