Home MAKALA Shule 10 zilizofanya bora zaidi kwenye matokeo kidato cha nne 2019

Shule 10 zilizofanya bora zaidi kwenye matokeo kidato cha nne 2019

0
Advertisement
  1. Shule ya Sekondari Kemebos.
  2. Shule ya sekondari ya wasichana ya St. Francs iliyoshika nafasi ya pili iliyopo Mbeya ambapo mwaka jana ilishika nafasi ya kwanza
  3. .Feze Boy’s

Bofya hapa kutazama motokeo ya kidato cha nne 2019

4. Shule ya sekondari Canossa Dar es salaam

5. Anwarite Girls kutoka Kilimanjaro ikishika nafasi ya tano

6. Shule ya sekondari Precious Blood kutoka mkoani Arusha

Bofya hapa kutazama motokeo ya kidato cha nne 2019

7. Marian Boy’s kutoka Mkoa wa Pwani imeshika nafasi ya saba

8. St Augustine Tagaste ya Dar es Salaam ikiwa ya nane.

9. Maua Seminary ya Kilimanjaro imekua ya tisa

Bofya hapa kutazama motokeo ya kidato cha nne 2019

10. Musabe Boy’s iliyopo Mwanza ikiwa ya kumi.