MAKALA

Rahatupu blog – Bofya hapa kuingia Rahatupu blog

Miaka kadhaa iliyopita blog ya Rahatupu ilijikusanyia umaarufa Africa mashariki hasa katika uliwengu wa vijana kutoka na aina ya maudhui ambayo Rahatupu blog ilikuwa inachapisha.

Kwa wasiofahamu Rahatupu blog ilikuwa ni blog kwa ajili ya watu wazima na machapisho yake mengi ilikuwa na stori, video na picha za ngono.

Rahatupu blog imewahi kufungiwa na kufunguliwa tena mara kadhaa kulinga na aina ya machapisho ambayo ilikuwa ikichapisha, kwa sasa Rahatupu blog haiko-ewani kutokana na sheria mpya ambazo blogger.com imezipitisha. 

Japo kuwa blog hiyo haipo ewani lakini machapisho yake mengi bado yapo ewani kwa sababu baadhi ya tovuti kubwa za +18 zilinakili machapisho ya blog hiyo katika kurasa zao.

Unadhani ni kweli mwanzishi wa blog hiyo ameachana na kazi yake? ama anajipanga kuja kivingine au tayari kuna mtandao mwingine kama huo chini kwa chini?………

Spread the love

Leave a Comment