MAKALA

Sanchi aongea baada ya video ya ngono (uputu) kuvuja (+18 Video)

 

Baada ya sintofahamu iliyoibuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu video za ngono utupu zinazodhaniwa kuwa ni za mrembo Sanchi, bidada huyo ameamua kuvunja ukimya na kuanika kila kitu kupitia ukurasa wake wa instagram.

Kuna video nimeona mdada amelala kwny jacuzzi jamani hiyo sio shape yangu. Hiyo shape ni ndogo mnooo. Mimi ningelala ivo ingekua hatari ningesambaa sana manake nimejazia zaidi. Jacuzzi zenyewe huwa sitoshei nakaa kiupande. Rangi yake pia sio kama yangu. Na maziwa yangu yamejaa zaidi sio kama hayo.

 

Kuna video ya kujimanua mimi sina mguu njiti vile ? huo mguu wa toothpick na hayo manyama nyama kiunoni mimi nayatoa wapi? Katako kenyewe kadogoo ? Katika maisha yangu Mwenyezi Mungu shahidi sijawahi kurekodi video eti nijichanue ivo mtegemee siku mtaiona hadharani HAKUNA.

 

Bado yajayo yanafurahisha. Siterereki wala sitoyumbishwa. Kwa wanaojifariji kusema ni mimi Darlings am sorry to disappoint you it ain’t me. Nimepost hili kwa ajili ya watu ninaowapenda wasijekuamini uongo – Aliandika Sanchi

Leave a Comment