ENTERTAINMENT

Sms kali 7 za mapenzi kwa bae na boo

1. Nashukuru kwa miguno uliyonipatia na kiuno kunikatia, utamu niliousikia nilitamani kulia hatima ilipowadia, nakupenda dia usije utamu wangu mwingine kumpatia! Luv u

2. Wikiendi ndiyo imeisha, majukumu hatunabudi kuyatimiza dear, kuwa nawe muda mrefu nimefurahia nakujihisi malkia katika hii dunia kuwa nawe najivunia. Luv u

3. Giza ndiyo laingia natamani ungekuwepo nipate kukumbatia, hakika nimechoka mto kukumbatia nakukesha ndotoni nikikufikiria, nakumiss dear fanya hima nyumbani kujongea wazazi wapate kukutambua! Nakupenda dear

4. Hakika najutia kwa mambo unayonifanyia, nilijitoa kwa moyo wote na mwili wangu kukuachia chochote utakacho kunifanyia ruhusa nilikupatia nikiamini utatulia kumbe kunichezea ilikuwa yako nia, umetimiza sasa waniringia. Asante na Mungu atanisaidia , kilio changu tena hutosikia . Stay blessed

5. Hakika raha wajua kunipatia, fimbo wajua kuitumia sharti mtoto wakike nabaki nagugumia kwa raha unayonipatia ambayo wengi wanaililia , plz utamu wangu nitunzie!

6. Uko wapi wangu malkia, mwenzio hamu nasikia nawe ndiye ujuwaye hamu kunitoa, tafadhali dear upatapo msg hii tambua nyumbani nakusubiria! Luv u

7. Nisamehe la azizi ukweli mbona uko wazi, yule si wangu mpenzi ila ni rafiki yangu kipenzi, yangu mapenzi ni wewe pekee nayekupa mpenzi, katika hii dunia ni wewe pekee penzi nayekupatia!

 
 

 

4 Comments

Leave a Comment