MAKALA

Jinsi ya kuondokana na Kikohozi kwa siku moja

Vitunguu vinapendekezwa kwa hali ya upumuaji, ikiwa ni pamoja na kikohozi na homa.

Endapo vikitumika vikiwa vibichi, ina aminika kuwa nzuri zaidi. Vina flavanoids na compaund za sulfur, ambavyo vinafanya Kitunguu kuwa na manufaa kwa moyo, viwango vya cholesterol, kisukari,arthris, na kwa ujumla kama antioxidant.

Viungo:
1. Paundi moja ya vitunguu
2. lita 3 za maji

Njia za kufuata:
Ondoa ngozi yote ya juu ya vitunguu,na kila kimoja kata vipande vinne,kisha weka vitunguu vyako kwenye sufuria yenye maji, na anza kuvichemsha. Chemsha maji kwa mda wa nusu saa, na kisha viache vipoe.

Kunywa kikombe kimoja na nusu mara mbili kwa siku, ukipenda unaweza ukachanganya na asali na limao.

Spread the love

Leave a Comment