Tenzi za Rohoni ni nyimbo za kale za kiroho zinazotumika katika ibada na mikusanyiko ya waumini. Nyimbo hizi hubeba mafundisho ya kina na ujumbe wa kumtukuza Mungu. Pakua tenzi za rohoni na uimarike kiroho kupitia nyimbo za ibada.